Kimsingi De sio chaguo la mmiliki na ndio maana amepewa miaka miwili tu.
Ashukuru Mungu Gudiola chaguo la kwanza la tajiri kukataa kazi ya kuinoa Chalsea, ndio maana kazi kapewa yeye.
Hata hivyo nampongeza kwa uvumilivu wake kwakuwa hii ilikuwa ni nafasi yake ya kutoka.
Ameipa club FA na CL lakini bado alikuwa na subira kuona club inaangaika kutafuta kocha mwingine