Huzijui chai?Maneno gani?
Pole mkuu, ungekataa kuoa bila dharau...angekuganda mpaka kesho. Pambana tu na hali yako mkuu....nshai pitia iyo kitu nilikuja kukubaliana na hali miaka kumi na kitu ishapita.Kuna mda sisi wanadamu tukipata ua tunasau kama kuna kukosa pia
Na tukishiba tuna sau njaa
Kuna mda sisi wanadamu tukipata ua tunasau kama kuna kukosa pia
Na tukishiba tuna sau njaa
Tukifurahi saana tuna sau uzuni
Did you say man??Man down! I reapit man down!
Very petty? Haya tuambie wewe kitu Gani hapa duniani ni muhimu kuliko mapenziUsimuliaji tu 5% ndo vijana wa sasa wanaotaka kuoa hawa huku wakihitaji ushauri wa very petty issues like this!
Kuna kichaa atakupa za uso. Utaskia mtu anaropokwa "kuenda mbinguni"Very petty?? Haya tuambie wewe kitu Gani hapa duniani ni muhimu kuliko mapenzi
Sa hv ni zamu yako utalia na kusononeka mno..... Malipo yako hayo kaa kwa kutuliaKuna mda sisi wanadamu tukipata ua tunasau kama kuna kukosa pia
Na tukishiba tuna sau njaa