Eti lemahapigi kampeni Arusha na kuamini kuwa ushindi wa madiwani ni sawasawa na ushindi wake.
Hii ni dharau kwa watu wa Arusha na kuhisi kuwa watu wa Arusha hawajitambui.
Ukweli ni kwamba Arusha inachagua maendeleo na sio vurugu.

ulitaka akuletee maendeleo kitandani?
Polisi ni watumishi wa hali ya chini wasio na elimu wala kipato cha maana. Hawaelewi kutetewa wanajikomba kwa ccm. Sasa hapa arusha ccm out bado kata moja. Wajitayarishe kwenda shule wewe ukiwepo maana mtaji wenu wa ujinga ni mzigo hapa arusha lazima tuutue
tulimtaka asifanye kampeni kwa kiasi fulani amesikia
Eti lemahapigi kampeni Arusha na kuamini kuwa ushindi wa madiwani ni sawasawa na ushindi wake.
Hii ni dharau kwa watu wa Arusha na kuhisi kuwa watu wa Arusha hawajitambui.
Ukweli ni kwamba Arusha inachagua maendeleo na sio vurugu.
Siyo vizuri kujipa majina ya ajabu ajabu, mara shida, chausiku nk. Jina huwakilisha identity ya mtu, nakushauri ubadilishe jina!Eti lemahapigi kampeni Arusha na kuamini kuwa ushindi wa madiwani ni sawasawa na ushindi wake.
Hii ni dharau kwa watu wa Arusha na kuhisi kuwa watu wa Arusha hawajitambui.
Ukweli ni kwamba Arusha inachagua maendeleo na sio vurugu.
Lema hajaleta maendeleo yoyote Arusha zaidi ya vurugu!
Na sasa hivi anaendelea kuprovoke polisi...mwenendo huu hauna manufaa kwa watu wa Arusha.
Huijui Arusha wewe usiongee!
Sasa unalia nini.
Kampeni hapg na atashnda kwa kshndo..
si ndo vizuri ili ccm mshinde kiurahisi bila bao mkono
Ni mwana Arusha ambaye ni pro ccm
Eti Lema hapigi kampeni Arusha na kuamini kuwa ushindi wa madiwani ni sawa sawa na ushindi wake.