Kiukweli kwa sasa naona wamezidiwa sanaa kama tawi la mbagala la mikopo bovuuuuuuuuuuuuuu unakamilisha kila kitu afisa anakuzungushaaa tu.zama hizi bora umwambie mtu huna vigezo aendelee kusali.BARAKA WA EQUITY MUNGU ANAKUONA[emoji25][emoji25][emoji25]Kwa mara ya kwanza naingia hapa katika benki ya Equity,nashangazwa na mwenendo wa huduma ninazozikuta hapa katika ofisi yao mkoani Morogoro.Kama hapa manispaa huduma zimedorora namna hii,je vipi kuhusu huko vijijini ambapo wana matawi?
Nimekutana na daftari la maoni hapa,inaonesha huwa hawapitii maoni ya wateja wao.
Wateja wengi wanalalamikia suala zima la mikopo,kwamba kuna ucheleweshwaji mkubwa wa mikopo,yaani inachukua mpaka wiki sita mpaka nane kupata mkopo,na hapo ni baada ya kuwa mteja ameshakamilisha taratibu zote za kupewa mkopo.Benki nyingine wanatoa huduma ndani ya saa 24,yaani kama mteja amekamilisha kila kitu basi ndani ya saa 24 ameshachukua chake na kutatua mambo yake.
Kama EQUITY Bank mmeishiwa,mnashindwa kukopesha kwanini msifunge mikopo?
Mnakera wateja wenu.
Kwa nini usibadilishe benki au uchukuwe mkopo sehemu nyingine? Hii ndiyo namna pekee itakayoweza kuwafanya wabadilike. Hivi inaingia akilini mtu unanyanyaswa na kupatiwa huduma mbovu halafu kesho yake unarudi tena pale pale? Go away, wakikosa wateja watabadilika.Kwa mara ya kwanza naingia hapa katika benki ya Equity,nashangazwa na mwenendo wa huduma ninazozikuta hapa katika ofisi yao mkoani Morogoro.Kama hapa manispaa huduma zimedorora namna hii,je vipi kuhusu huko vijijini ambapo wana matawi?
Nimekutana na daftari la maoni hapa,inaonesha huwa hawapitii maoni ya wateja wao.
Wateja wengi wanalalamikia suala zima la mikopo,kwamba kuna ucheleweshwaji mkubwa wa mikopo,yaani inachukua mpaka wiki sita mpaka nane kupata mkopo,na hapo ni baada ya kuwa mteja ameshakamilisha taratibu zote za kupewa mkopo.Benki nyingine wanatoa huduma ndani ya saa 24,yaani kama mteja amekamilisha kila kitu basi ndani ya saa 24 ameshachukua chake na kutatua mambo yake.
Kama EQUITY Bank mmeishiwa,mnashindwa kukopesha kwanini msifunge mikopo?
Mnakera wateja wenu.
Vipi kuhusu atm mkuu maana hapa Dar ni aibu tupu! Benki iko mikocheni tu😅😅😅Kwa mara ya kwanza naingia hapa katika benki ya Equity,nashangazwa na mwenendo wa huduma ninazozikuta hapa katika ofisi yao mkoani Morogoro.Kama hapa manispaa huduma zimedorora namna hii,je vipi kuhusu huko vijijini ambapo wana matawi?
Nimekutana na daftari la maoni hapa,inaonesha huwa hawapitii maoni ya wateja wao.
Wateja wengi wanalalamikia suala zima la mikopo,kwamba kuna ucheleweshwaji mkubwa wa mikopo,yaani inachukua mpaka wiki sita mpaka nane kupata mkopo,na hapo ni baada ya kuwa mteja ameshakamilisha taratibu zote za kupewa mkopo.Benki nyingine wanatoa huduma ndani ya saa 24,yaani kama mteja amekamilisha kila kitu basi ndani ya saa 24 ameshachukua chake na kutatua mambo yake.
Kama EQUITY Bank mmeishiwa,mnashindwa kukopesha kwanini msifunge mikopo?
Mnakera wateja wenu.
Nimecheka huyo Baraka, nikajua Rafiki yangu wa Equity Nyerere road.Kiukweli kwa sasa naona wamezidiwa sanaa kama tawi la mbagala la mikopo bovuuuuuuuuuuuuuu unakamilisha kila kitu afisa anakuzungushaaa tu.zama hizi bora umwambie mtu huna vigezo aendelee kusali.BARAKA WA EQUITY MUNGU ANAKUONA[emoji25][emoji25][emoji25]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimecheka huyo Baraka, nikajua Rafiki yangu wa Equity Nyerere road.
Kuna jamaa walikopa hapo Equity mnazi mmoja walikuwa wanakatwa na hela bado hawajachukua wanaambiwa bado.
kuna jambo limemvutia kukopa Equity sasa hataki kuliweka waziHamia bank nyingine mkuu
Lawama zote hizo kumbe kisa ni kutaka kukopaKwa mara ya kwanza naingia hapa katika benki ya Equity,nashangazwa na mwenendo wa huduma ninazozikuta hapa katika ofisi yao mkoani Morogoro.Kama hapa manispaa huduma zimedorora namna hii,je vipi kuhusu huko vijijini ambapo wana matawi?