yusuphmarcogaga
Senior Member
- Jan 5, 2014
- 145
- 162
Nimesikia mara kadhaa CCM na viongozi wake wakishutumu vikali wanachama wanaokihama chama hicho aidha kwa kutopata maslah waliotegemea au kwa kufukuzwa chama.
Napenda tu kuwakumbusha chama kikongwe kwamba hawapaswi kujenga chuki na wanachama hata ivo ni hiari ya mtu kubaki katika chama fulan, hakuna namna watavozuia watu wasihame chama
Swali. Kama wanaotoka CCM na kujiunga upinzani ni Makapi. Je wanaotoka upinzani na kuingia CCM wanaitwaje?