uswahilini kuna vituko we acha..
hiyo gesti ilikuwa uswazi,na watu wa huko ndo ilikuwa staili yao.
nilikuja stuka katikati ya shughuli,kuacha siwezi,kuenndelea siwezi.
Wapo wengi tu na mimi ni mmoja wapo, nimeitunza bikira yangu ikiwa ni zawadi kwa mke wangu mtarajiwa ambaye tutafunga nae ndoa mwezi wa 7,kutunza bikira kwa maisha haya sio mchezo kuna vishawishi vingi sana, mimi hapa nilipo na karibia kuchanganyikiwa kutokana na vishawishi navyo vipata toka kwa mabinti na mijimama!....
Nimefurahi sana kufahamu kumbe Mjengwa ni Mdada!
Me nnayo ila ya sehemu moja...sijui nyinyi mnayoiongelea ni ipi hiyo??!!
Me nnayo ila ya sehemu moja...sijui nyinyi mnayoiongelea ni ipi hiyo??!!
Me nnayo ila ya sehemu moja...sijui nyinyi mnayoiongelea ni ipi hiyo??!!
mnhhh interesting...kumbe we mtundu hivyo? ya wapi hiyo?una mpango wa kumzawadia mtu?
hahahahahaha ukiwa na watundu nawe lazima uige
Huko wanakotoa vyeti wangewapa na wanaume pia na asiyekuwa nacho hakuna kuoa...waache gender imbalance mfyuuuuuu