huu mpango bora uje bongo! wanaume siku hizi wamechoka kula makapi! kijana wa watu kajitunza lakini mwisho wake anakuja kula tambala! watu wengine walishapigia deki weeeeeee! kha inauma sana!Wenzetu Swaziland wanawapima wasichana wao kutambua kama ni bikra au la! Msichana akikutwa bikra anapewa cheti ambacho ndiyo kinamhalalisha kuolewa, msichana asiyekuwa na cheti haolewi ngó! Hivi mpango huu ukianzishwa bongo jamani hii michango ya harusi isiyoisha kila kukicha si itakuwa ndiyo baibai??!!!!
u r welcome,
nilichotaka watu tuwe open kidogo,
ungeweza sema experince yako ya first time,
na kama ukukimbuka uajisikia vizuri,thats all,
nijuavyo mimi,wasichana wengi huwa hawataki hata kukumbushwa
hiyo first time,wengi inakuwa ita was with the wrong person.au
mtu mzima ali take advantages of them,umenipata.??
sipati picha!lol
Wapo wengi tu na mimi ni mmoja wapo, nimeitunza bikira yangu ikiwa ni zawadi kwa mke wangu mtarajiwa ambaye tutafunga nae ndoa mwezi wa 7,kutunza bikira kwa maisha haya sio mchezo kuna vishawishi vingi sana, mimi hapa nilipo na karibia kuchanganyikiwa kutokana na vishawishi navyo vipata toka kwa mabinti na mijimama!....
Nimefurahi sana kufahamu kumbe Mjengwa ni Mdada!
hahaa si mchezo.lkn tukirudi ktk topic,ww unasema umeanza ukiwa 15 yrs old,ulikuwa bado mdogo sana,lkn cha kuhuzunisha ni kwamba,ww pamoja na kuanza mautundu mapema unaweza kuamua kuwa hutaki kuoa asiye bikira,na hakuna atakayehoji kwa nini ww huna bikira,lkn binti akiaanza haya mautundu ktk umri ulioanzia ww si ndio hao mnaosema kawa tambara limeburuzwaaa nani aoe,unajua sitetei mabinti wasitunze bikira zao hapana,bali sielewi tu kwa nini nyie ni sawa mpotezee zenu lkn sisi tukipotenza inakuwa maneno mengi!uswahilini kuna vituko we acha..
hiyo gesti ilikuwa uswazi,na watu wa huko ndo ilikuwa staili yao.
nilikuja stuka katikati ya shughuli,kuacha siwezi,kuenndelea siwezi.
my ver first time haikuwa nzuri,
natamani kungekuwa na guide books..
gesti yenyewe haikuwa safi,i was fifteen,na she was sixteen,
kibaya zaidi kulikuwa na watu wanachungulia dirishani,
nilikuwa so kuchanganyikiwa,
but she still love me to death.....
hahaa si mchezo.lkn tukirudi ktk topic,ww unasema umeanza ukiwa 15 yrs old,ulikuwa bado mdogo sana,lkn cha kuhuzunisha ni kwamba,ww pamoja na kuanza mautundu mapema unaweza kuamua kuwa hutaki kuoa asiye bikira,na hakuna atakayehoji kwa nini ww huna bikira,lkn binti akiaanza haya mautundu ktk umri ulioanzia ww si ndio hao mnaosema kawa tambara limeburuzwaaa nani aoe,unajua sitetei mabinti wasitunze bikira zao hapana,bali sielewi tu kwa nini nyie ni sawa mpotezee zenu lkn sisi tukipotenza inakuwa maneno mengi!

inabidi nikurekebishe kwanza..
wanaume hawana bikira....
bikira is for girls.....
kwangu mimi sijali past ya mwanmke sana,
kama yupo healthy na naona ananifaa,ndo huyo huyo.
Wapo wengi tu na mimi ni mmoja wapo, nimeitunza bikira yangu ikiwa ni zawadi kwa mke wangu mtarajiwa ambaye tutafunga nae ndoa mwezi wa 7,kutunza bikira kwa maisha haya sio mchezo kuna vishawishi vingi sana, mimi hapa nilipo na karibia kuchanganyikiwa kutokana na vishawishi navyo vipata toka kwa mabinti na mijimama!....
Nimefurahi sana kufahamu kumbe Mjengwa ni Mdada!
wewe kwa nini usitusimulie kuhusu bikira yako,jinsi ilivyoondoshwa
na una regrets zozote??????????
Pengine kuweka sawa itabidi tuanze na kujadili BIKRA ni nini?
Ninavyoelewa mimi Bikra ni kama kiwambo ama kizinda kilichopo katika uke wa mwanamke, kipo mfano wa utando hivi ambacho mwanamke anapoanza kuingiliwa kimwili hupasuka na kusababisha kutokwa kwa damu na hivyo tendo hilo huitwa Kubikriwa.
Kwa mantiki hiyo ni kweli kabisa mwanaume hana Bikra kimaumbile. Lakini, kinadharia katika mjadala huu Bikra inachukuliwa kama ni hali ya kuishi bila ya kumjua mme (kwa Mwanamke) au kutomjua mke (kwa Mwanaume). Hii ndiyo dhana inasababisha Cheusimangara kuhoji Bikra ya mwanaume.
Muhimu: Lakini mara nyingine Bikra yaweza kutoweka kutokana na mambo tofauti na Sex, kama vile;
1. Kubeba vitu vizito,
2. Kuendesha baiskeli,
3. Kukimbia,
4. Kuruka n.k
Ni vigumu kwa mwanamke ambaye Bikra yake itaondoka kwa mazingira hayo akamshawishi mtu kuwa yeye bado Bikra ingwa ni kweli atakuwa bado bikra kwa vile itakuwa imetoka kwa njia hizo hapo juu.
Na kwa kuwa mila na desturi ziliipa thamani Bikra ndiyo maana wazee wetu walibuni njia za kuirejeza Bikra kwa kutumia Ndimu, limau na siku hizi nasikia hata Coca Cola inaweza kurejeza Bikra kwa mwanamke akaonekana kama aliye safi bado.
Nadhani tunajadili Bikra ya Mwanamke na dhana ya mwanaume kutojitunza kufanya Ngono mpaka siku ya kuolewa kwake.
hahaa si mchezo.lkn tukirudi ktk topic,ww unasema umeanza ukiwa 15 yrs old,ulikuwa bado mdogo sana,lkn cha kuhuzunisha ni kwamba,ww pamoja na kuanza mautundu mapema unaweza kuamua kuwa hutaki kuoa asiye bikira,na hakuna atakayehoji kwa nini ww huna bikira,lkn binti akiaanza haya mautundu ktk umri ulioanzia ww si ndio hao mnaosema kawa tambara limeburuzwaaa nani aoe,unajua sitetei mabinti wasitunze bikira zao hapana,bali sielewi tu kwa nini nyie ni sawa mpotezee zenu lkn sisi tukipotenza inakuwa maneno mengi!
wewe kwa nini usitusimulie kuhusu bikira yako,jinsi ilivyoondoshwa
na una regrets zozote??????????
Kama kuna mtu ana miaka ishirini n.bikira hapa bongo jamani mleteni tumpeleke makumbusho ya taifa.