Wakati natafakari,
1.Vita dhidi ya Maadui Wakuu wa Taifa Letu, kama walivyo Tajwa wakati wa Uasisi, yaani Ujinga, Umasikini, Njaa na Maradhi.
2.Na silaha Kuu tulizo hitajika kuwa nazo, yaani Ardhi, Watu, Uongozi Bora, na Siasa safi.
Nimejiuliza maswali mengi juu ya Adui pekee aliye jikita kwenye Akili zetu na Siasa zetu ambeye ni "Ufisadi".
Maswali yenyewe ni
1.Kuna uhusiano gani Kati ya Adui mpya na ama Adui Wakuu au Silaha tulizo nazo?
2.Je tunamtambuaje Adui huyu? Na nikwanini tuna muhusisha Zaidi na Majina ya watu (ama wanaoitwa wa pambanaji au Mafisadi) zaidi kuliko vitendo?
3. Je vita dhidi ya Adui huyu inamafanikio na madhara gani katika Taifa Letu?
Katika utangulizi wa kifikra, nimeona yafuatayo:
1.kuna uhusiano mkubwa dhidi ya Adui huyu na
Maadui "Umasikini" na "Ujinga". Na kuna uhusiano Kati yake na Silaha za "Uongozi Bora" na "Siasa Safi"
2.Kwamba kuna utata mkubwa katika dhana zinazo utambulisha Kwa sababu ya fikra zisizo kombolewa katika "Ujinga", na uhusishwa na Majina ya watu Kwa kukosekana "Siasa Safi" yaani Kwa kuhusishwa na Siasa Chafu.
2.Mafanikio ya Vita hii yameonekana Kwa kiasi kidogo huku madhara yake ya kishamiri na kulimaliza Taifa Letu kiumoja na kiuchumi. Si kwasababu haina maana, ila ni kwasababu za (1) tafsiri na upembuzi Kwa kukosa weleni (2) uwepo wa Siasa Chafu.
Hivyo Kwa kuzingatia umuhimu wa Vita hii na hasa pale unapo husiswa na Umasikini, ni Muhimu kujadili Kwa kina mambo hayo matatu, Kwa mawazo huru na nayenye ustadi.
Navutiwa pia kurejea maandiko (documentary) juu ya mambo na dhana zifuatazo:-
1. Dhana za dhama za Nyerere na Ujamaa.
2.Dhana za dhama za Mwinyi na Ruksa,
3.Dhana za dhama za Mkapa na Utandawazi, Kubana Matumizi.
4. CHADEMA na Majina ya Mafisadi, (a)nini walikusudia (b) wapi walifanikiwa na nini walifeli? Kwanini?
5. Mfumo wa Mabadiliko tuliyo uhitaji na tulio nao.
Wakati nikiendelea kupitia maadingo yanoyo elezea hayo hapo juu. Naalika Mjadala Uendelee.