mogulnoise
JF-Expert Member
- Oct 28, 2014
- 2,445
- 5,554
Babu twende kivitendo zaidi kuliko nadharia kilichofanyika pale ni nyoka kumdanganya HawaHii dhambi iliofanywa. Ilifanywa na adam na hawa au aliifanya shetani? Kwa hapa hukumu alipata adam na hawa au sheittani naomba nifungue kidogo kakaa.
Anania alimdanganya Roho wa Mungu akafa pale paleKimkufuru roho mtakatifu
Nikweli but ukiangalia Anania alipo sema tu Uongo alikufa hata mke wake vile vileDhambi ni kosa la mtu kuvunja kusudi amri za mungu. Kwa kuwaza kutenda na kunena. Hamna dhambi kubwa wala ndogo. Amri ya kwanza duniani ni hii. usile tunda la mti wa katikati Adam na Hawa/Evah waliesabiwa dhambi kwa kula matunda la mti wa katikati. Adhabu yake ilikuwa ni kifo.
MUNGU alifanya makosa kwa kubadi adhabu ya kifo kuwa hii inayotutesa sana sisi tusioenda shule. Hamna adhabu ngumu kama hii. kwa kasa lako Adam ardhi imelaaniwa "UTAKULA KWA JASHO".
In short hsmna dhambi kubwa wala ndogo. Makosa yoote ni machukiza kwa mwenye enzi mkuu Mungu.
Hao Wahindi hapo mjini wanaoabudu zile sanamu mbona sijaona hata tetemeko lizivunje zile sanamu au ni mungu yuleKumuabudu sanamu badala ya Muumba WA mbingu na nchi .
Au kumshirisha na e katika ibada.