Dhaifu Logo

Mkuu hiyo T shirt ikiwa na picha ya huyo DHAIFU itakuwa na NUKSI mimi sitaivaa...
 
Pesa zitakazo patikana nashauri apelekewe Ulimboka maana anaujua vizuri sasa UDHAIFU.
 
mkuu ni vyema isiwe na picha ya mmiliki wa hio sifa tafadhali! yaweza leta balaaa!!!
 
Tshirt tutaprint na Kutoa kwa order, kama vipi toa order
IMekaa vizuri kamanda

Imekaa vizuri kamanda naifanyia utafiti niiprint kwenye Tshirt yangu. Naomba ruhusa yako mkuu
 
pesa zitakazo patikana zitawekezwa katika kujenga ujasiri na kuhamasisha ushujaa
Pesa zitakazo patikana nashauri apelekewe Ulimboka maana anaujua vizuri sasa UDHAIFU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ