Haina utofauti na UKAWA ambayo bado ilishindwa na hicho kichama cha Mafisadi CCM, hivyo siyo tu kuungana bali mikakati makini inahitajika kumnyanganya mtu tonge wakati na yeye ana njaa ni kipengele
Huyu Devotha mwenyewe kakimbia Chadema kwenda Chaumma alafu tena anataka waungane kwa nini asingebaki huko chadema asisitize vyama vya upinzani kuungana kukataa huu uchaguzi ubatili
---------------
Mgombea mwenza Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Devotha Minja ameviomba vyama vya upinzani Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ACT- Wazalendo na Chama cha Wananchi (CUF) kuunganisha nguvu ili kukiondoa Chama cha Mapinduzi (CCM) madarakani
Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Kirumba Sokoni wilayani Ilemela, Minja amesema adui wa vyama vya upinzani ni CCM hivyo waunganishe nguvu kikitoa madarakani ili kuleta mabadiliko na maendeleo nchini
"Sasa ndugu zangu CHADEMA, CUF, ACT - Wazalendo tuunganisheni nguvu adui yetu ni CCM, kuna watu wanawaambia watu wasusie uchaguzi hawa majamaa ukiwasusia uchaguzi ndio kwanza wanalala usingizi, wanachekelea wanabaki wenyewe," amesema Minja
Aidha, Mgombea Ubunge kupitia CHAUMMA Jimbo la Ilemela, Veronica Mgeta amedai ni wakati wa wananchi kufanya mabadiliko na kukipa nafasi Chama hicho kuongoza nchi angalau kwa Miaka mitano ili kutatua matatizo ya wananchi

Leo ndio hata wale waliosaliti harakati za ukombozi wanajua adui yetu na adui wataifa ni nani basi tumechelewa sana.Ingekuwa mapema hata zile hila za Chaubwabwa na washirika wao zisingefanyika!