kila lenye mwanzo lina mwisho wake uwe mbaya au mzuri.hatimaye yule mkuu wa usalama wa mamlaka ya bandari[tpa] aliyesimamishwa kwa ubadhirifu bwana devid mranda leo amekabidhiwa barua rasmi ya kutimuliwa, akikabidhiwa barua hiyo hii katika ukumbi wa mamlaka ya mawasiliano pale ubungo ambapo bodi ya tpa ilikutana kwa kazi hiyo chini ya mwenyekiti wake prof. Msambichaka, bodi hiyo imemkabidhi barua ambayo inamtaka afungashe virago vyake mara moja na kurudi ofisi yake ya zamani [tiss], mranda mara nyingi alikuwa akijigamba yeye ni mtu toka ofisi ya rais na hakuna wa kumgusa.
anyway ndo uwezo wako wa kufikiria ulipoishia. hatuna jinsi ya kukusaidia. pole.
TISS ni kijiwe cha wahuni!
Tuki review mfumo mzima wa utendaji kazi na kuziba mianya yote ya ufisadi tutanufaika zaidi ya hapo
Tuangalie misingi sio watu.Kufukuza watu bila kuangalia mfumo mzima wa utendaji kazi ni aina nyingine ya ujinga.Tujiulize tangu watu wafukuzwe ufanisi umeongezeka kwa kiwango gani?
Sabato masalia , Mbona unamshambulia sana huyu mzee . Do you have anything personal against him ? kwasababu siyo mara yakwanza wewe kituma habari kuhusu mtu huyu huyu
Huyo Sabato masalia atakuwa ana chuki binafsi na huyo mzee wa bandari. anadhani kuondoka kwake TPA ndio faida kwake; huyo mzee hatakosa kazi ya kufanya tofauti na unavyodhani. shame on you!
Utampa ww hiyo kazi? Mwizi hapati tena kazi. Kama Tiss ndo wako hivyo.basi huko ni chaka la wezi na mafisadi.