Zimekuwa story tu kila mwaka...
Dre anatakiwa akubali katika hawa wasanii wapya hakuna aliyequalify kufanya kazi naye, nawale old bado wapo kwenye album zake za zamani wanatutosha, hawa watoto watakushushia heshima na walivyo hawana akili ukishinda nao siku mbili kesho wanakuandikia diss track, achana nao Still Dre