Habari yetu Wadau. Desktop yangu imekuta haiwaki kwani nilikuwa safarini kwa miezi 3 sasa narudi kila nikiiwasha yawaka katik monitor yaandika PC kunakuwa na mstari na alama ya + na kwachini ya kutoa. baada ya hapo haiendelei chochote. Nisaidie.
Habari yetu Wadau .Desktop yangu imekuta haiwaki kwani nilikuwa safarini kwa miezi 3 sasa narudi kila nikiiwasha yawaka ktk monitor yaandika PC kunakuwa na mstari na alama ya + na kwachini ya kutoa.baada ya hapo haiendelei chochote .Nisaidie.