Desktop inagoma kuwaka msaada please!

MC RAS PAROKO

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2013
Posts
621
Reaction score
616
Natanguliza shukrani wakuu. Nina computer yangu aina ya Dell kwanzia jana najaribu kuwasha inagoma screen inakuwa black yote na inaleta ujumbe kwa maandishi meupe kwamba 1. AUTO DETECT ENTERING POWER MODE .

Na inaishia hapo lakini CPU inawaka coz nasikia ikinguruma kama kawaida na namba zilizo kwenye CPU zinawaka 3 na 4 ila 1 na 2 haziwaki nawezaje kumaliza hili tatizo wakuu. Asanteni naomba kuwasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…