Desktop computer inatafutwa

Desktop computer inatafutwa

bface

Senior Member
Joined
Dec 22, 2010
Posts
128
Reaction score
19
Hey, natafuta desktop computer ambayo itakuwa na HDMI output, 500gb and above hard disk,mwenyenayo tuwasiliane! Cha msingi iwe na hdmi output
 
hey, natafuta desktop computer ambayo itakuwa na hdmi output, 500gb and above hard disk,mwenyenayo tuwasiliane! Cha msingi iwe na hdmi output
wewe kanunue pc then nenda pale sunray computers waambie wakuuzie GRAPHIC CARD yenye HDMI port then unaplug & play
IntensityPro.jpg
 
Hey, natafuta desktop computer ambayo itakuwa na HDMI output, 500gb and above hard disk,mwenyenayo tuwasiliane! Cha msingi iwe na hdmi output

Mpigie huyu bwana akuagizie dukani kwake atakupa hiyo computa yenye specifications unazotaka, no. 0717189256
 
Hey, natafuta desktop computer ambayo itakuwa na HDMI output, 500gb and above hard disk,mwenyenayo tuwasiliane! Cha msingi iwe na hdmi output

Kiswahili kingine bana, nilivyoona kichwa cha habari hii nilijua kuwa computer imeiba au imebaka. Kumbe unatafuta Computer ya kununua.:A S shade:
 
Back
Top Bottom