Design mpya: Ndege ambayo huna haja ya kupanga foreni, Unaingia na kushuka na Gari yako

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Jul 22, 2011
3,763
5,591
35FEEDF300000578-0-image-a-32_1467800809819.jpg

35FEEDFB00000578-0-image-a-30_1467800802899.jpg

35FEEE3000000578-0-image-a-23_1467800768604.jpg

35FEEE6200000578-0-image-a-28_1467800793504.jpg

Wakati sisi tunapambana na foreni barabarani. Wanasayansi nchini uswizi wanadesign ndege itakayopunguza foreni airport. abilia unaweza kupanda na Gari yako ukashuka nchi nyingine ukaendelea na safari.
<iframe allowfullscreen frameborder="0" width="698" height="573" scrolling="no" id="molvideoplayer" title="MailOnline Embed Player" src="New Clip-Air concept plane could revolutionize air travel"></iframe>
 
Sisi ungetuambia siasa za majitaka maneno kwa wingi unafiki wa kutosha ujuaji usio na tija kulalamika kwa sana hapo ungetupata
 
Helicopter gani ambayo haipai?
Ujuzi wa kibongo umeishia hapa..

Hivyohivyo mkuu. Ameonesha njia.

Inaonesha jinsi gani watu wana uthubutu wa kujaribu.

Tuoneshe hata gari lako ulilounda lisilowaka.
 
Sisi tuko busy na kuigiza utengenezaji wa ndege....sijui yule wa tunduma alifanya kitu gani...mpaka sasa hata sielewi
 
Kawadanganye wasiopenda kuchunguza mambo na kukubaliana na kila kitu.
Siku ya kwanza NICOLA TESLA alipoonyesha demonstration ya Wireless controlled Boat. wakazi wote new york na wageni waalikwa (scientists kutoka ulaya) walibisha, wengine wakasema uchawi, wengine wakasema ameficha tumbili humo ndani anamuelekeza. Lakini matokeo yake leo wewe una hiyo simu/pc unapata hata fursa ya kucomment tunaiona, Drones, wireless guided missles, etc
 
35FEEDF300000578-0-image-a-32_1467800809819.jpg

35FEEDFB00000578-0-image-a-30_1467800802899.jpg

35FEEE3000000578-0-image-a-23_1467800768604.jpg

35FEEE6200000578-0-image-a-28_1467800793504.jpg

Wakati sisi tunapambana na foreni barabarani. Wanasayansi nchini uswizi wanadesign ndege itakayopunguza foreni airport. abilia unaweza kupanda na Gari yako ukashuka nchi nyingine ukaendelea na safari.
<iframe allowfullscreen frameborder="0" width="698" height="573" scrolling="no" id="molvideoplayer" title="MailOnline Embed Player" src="New Clip-Air concept plane could revolutionize air travel"></iframe>
Kwani kuna nchi ngapi duniani wanaotengeneza japo pikipiki tu? Muache hoja za facebook
 
Back
Top Bottom