Daby kweli mm mda wote nipo online [emoji23][emoji23] baby kazi anayo ya kuniunga bundle1. Asprin.
Huyu jamaa kwanza ni swahiba wangu. Kwa wasiomkumbuka alikuwa anaitwa Chrispin enzi zilee. Anapenda sketi saana saana. Kuna siri kibao nimemfichia kwa shemeji yangu kiasi kwamba akinimind tu nasema na ataachika soon.
Anapenda kuongea pumba saana na ukifuatilia post zake utaishia kucheka. MO11 anatabia zinazofanania na huyu ila sema mo11 mdomo wake mzito[emoji23][emoji23]. Ila wapo smart saana wawapo serious.
2. Shunie. Haka kadada ka tanga aseeh kanachekesha saana. Kwanza muda wote kapo online JF nafikir mchuchu wake anakaribia kufilisika[emoji16] kwa bundle.kama hakanunuliwi bundle kaje kabishe hapa.
Ukikatania kukatongoza basi katakujibu kwa unyonge hadi unakaonea huruma. Nafikiri kanaheshimu mahusiano yake maana viwembe wa jf kama Saint Ivuga ameshindwa kukachukua.
mm nina list nyingi wawili hawatanitosha bana ila ukiniruhusu nitaigaja keshoWatu ni wawili wadadavue....
mfyuuu mvaa dera nan
we mtu upoNgoja kwanza uzi uchanganye nitarudi.
shost unataka kujaza bus ujue umeambiwa wawili tu [emoji23]Kwangu wa kwanza BAK kwanza nionavyo atakuwa umri umeenda kwani ana heshima zake pia ni mfuatiliaji mzuri wa mambo ya siasa , mpenda mpira pia nionavyo na kwenye muziki hayupo nyuma. Kiufupi huwa nafurahi nikiona michango yake popote lazima niipitie kwani najua nitapata kitu sitaondoka bure.
Wa pili ni huyu mtu mmoja Bonny sijui huwa anajichimbiaga wapi mana anaonekana kwa mikatiko , nionavyo naye huyu anajielewa ndio mana anapenda kuchagua thread za kucomment japo kwa upande mwingine naye ni kama Asprin mana ukiingia kwenye anga zake utajuta kwa hayo mashushu na maneno ya mkato.
Wapo wengine wengi ila ndio idadi inabana. Sakayo
Shunie
Raimundo
Numbisa
Asprin
Bob12
Transcend na wengine wengi pia nawakubali vibaya mno.
baby wangu [emoji23]Mond lee empire ndiyo nani
asante...mkuu...ila miongoni mwa member ambao hamjawahi kupokea ban nadani wewe ni miongoni...sasa umewezaje...mkuuHaha..pole mkuu. Ulikuwa mtu hatari saana.
hahahhah nakupenda sana eddy mm na ww tunakutana mara kwa mara kwenye mambo yetu haujakosea mm kwenye kutafuta pesamimi bwana huwa namuwaza sana Miss Natafuta nahisi ni msichana mmoja mrembo mwenye umbo zuri la kuvutia...lakini naamini hajampata mume ambae ndie mimi ninaye mngoja hapa kijijini Koromije aje nitangaze ndoa haraka...
yupo kipenzi changu, rafiki yangu nimpendaye sana Shunie nampenda hadi naogopa kumsogelea alipo, huyu nahisi ni mtafutaji sana wa pesa...natamani nimuone
FaizaFoxy namchukulia kama mama angu kiukweli huwa nashindwa kucomment ujinga sehemu nitakayoona comment ya huyu mama...namuheshimu sana na nahisi ni miongoni mwa wakina mama wachache waliobahatika kupata elimu enzi zile za zamani...nahisi anajua mengi sana na ni muelewa ambaye yupo teyari kufanya kile unachopenda akufanyie ila tu kiwe kinaendana na maadili
Tatizo katoa idadi ndogo wakati kuna wengine wengi ninaowakubali.shost unataka kujaza bus ujue umeambiwa wawili tu [emoji23]
acha woga shost we sifia tuNimekuelewa sasa hata nilivyoisoma thread mwanzo nilielewa vivyo hivyo ni marafiki
oh...nitakutafuta pengine na mimi nitaanza kuzitafuta kama wewe unavyozitafuta...mpendwa wanguhahahhah nakupenda sana eddy mm na ww tunakutana mara kwa mara kwenye mambo yetu haujakosea mm kwenye kutafuta pesa
hahahahhahNa JF wakikosa wateja watano kama wewe wanafunga server.
Aiseee huo mtihaniLeo anza na wawili wengine utamalizia kesho
hahahhah ngoja aje fakalavaFakalava ulishamtema?
Wewe mwanamke unatubadilisha kama vyupi. Ushindwe
Honey hii how and why naomba mwanga wake tafadhali.mdomo wangu mzito
how and why ??
ila nimepata mwanga
Mkuu kweli nina miaka hapa lakini ban sijawahi kula. Binafsi sijawahi ichukulia JF serious so hata mtu akinitukana nacheka naondokaasante...mkuu...ila miongoni mwa member ambao hamjawahi kupokea ban nadani wewe ni miongoni...sasa umewezaje...mkuu
acha si mtihani huo jamaanTatizo katoa idadi ndogo wakati kuna wengine wengi ninaowakubali.