TANZIA Derrick Magoma wa Chadema Afariki Dunia

Wewe kasirika tu mkuu😀.
Mimi sio kada wa ccm. Nimesema hivyo kwasababu chadema huwa wanafurahia vifo vya wana ccm.
Njoo basi tunywe beer
Wanafurahia vifo vya wenzao utafikiri wao hawakufi. Nyumbu ni wajinga sana.
Rip kamanda
 
Kajifunze kwanza kuandika vizuri.
Dua la kuku halimpati mwewe
Alafu kwa nini kidole kinapoingia vizuri mnajua kusoma makosa kuandika
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…