Dereva wa uber au bolt anahitajika

Dereva wa uber au bolt anahitajika

BOFREE

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Posts
1,056
Reaction score
1,446
Anaitajika dereva mzoefu wa kuendesha magali ya mitandaoni yaani Uber na Bolt gari ipo inausajili kila kitu kiko sawa lesen ya latra (raid hailing) , card ya gari ni biashara, bima ni ya biashara gari ina CC 1490

Vigezo na masharti
1. Uwe mkazi wa karibu na maeneo haya manzese, magomeni , kigogo ,mabibo,mburahati
2. Uwe na familia yaani mke, watoto au ndugu
3. Uwe na uzoefu usiopungua mwaka 1 bila kusababisha ajali
4. Hati ya tabia njema
5. Uwe na leseni yoyote kati ya izi C,C1,C2,C3
6. Malipo kwa wiki ya tajiri ni 150,000
7. Uwe unauwezo wa kutunza gari vizuri
8. uwe na account active ya uber au bolt
9 .namba za simu sijaweka maana wanaotafuta kazi ni wengi itakua ni shida kila mtu kunitafuta kama unakizi vigezo weka namba yako nitakupigia kwa maswali
 
0783231177

6. Malipo kwa wiki ya tajiri ni 175,000
7. Uwe unauwezo wa kutunza gari vizuri
8. uwe na account active ya uber au bolt
9 .namba za simu sijaweka maana wanaotafuta kazi ni wengi itakua ni shida kila mtu kunitafuta kama unakizi vigezo weka namba yako nitakupigia kwa maswali
0783231177
 
Unataka lesen class c ya kuendeshea uber si bola niendeshe school bus tu
ila kwa jins hali ilivyokua ngumu watakuja tu
 
Unataka lesen class c ya kuendeshea uber si bola niendeshe school bus tu
ila kwa jins hali ilivyokua ngumu watakuja tu
unafikiri uber wanaendesha na class gani mzee C zipo nyingi nimesema lesen yoyote kati ya C plain ,C1,C2,C3 inaonekana udereva hujui kabisa, gali lolote la kubeba abiria iwe tax iwe basi lazima uwe na class C sema zinatofautiana
 
Hakuna dereva wa kukuleteav175000 kwa wiki hiyo biashara imekuwa ngumu sana.maximum 120000
 
Daaaaah hiyo hesabuu na ukubwa wa garii mtasumbuana tuu na mkimaliza miez mutatu mje nkawape bia kwa hiyo gari yako hesabu 120 mwishoooooo
 
Daah ila Bolt sijui mnapataje faida naitumia sana huwa sipati majibu,juzi nilimtoa rafiki yangu alikuwa kalazwa Muhimbili mpaka Chanika Magenge kwa mzee wake 26,000 tu......tangu saa kumi na nusu hivi tunafika moja kasoro hivi
 
120,000 kwa week Niko tayari kufanya. Vigezo vyote ninavyo. Mawasiliano zaidi 0629281942
 
Umepata dereva kama bado nicheck 0656539177 vigezo vyote ninavyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom