Wakuu anahitajika dereva,apewe gari IST kwa ajili ya Uber.
Vigezo:-
1.Awe na uzoefu wa udereva hasa wa taxi au Uber
2. Awe na Leseni ya udereva daraja C.
3. Kitambulisho cha taifa.a
4. Asiwe mlevi.
5. Awe na heshima na mtanashati.
Mambo mengine tutazungumza zaidi.
Aliye tayari ani PM.
Shukrani
Vigezo:-
1.Awe na uzoefu wa udereva hasa wa taxi au Uber
2. Awe na Leseni ya udereva daraja C.
3. Kitambulisho cha taifa.a
4. Asiwe mlevi.
5. Awe na heshima na mtanashati.
Mambo mengine tutazungumza zaidi.
Aliye tayari ani PM.
Shukrani