Habari Kuna dereva wa kike anatafuta gari kwa ajili ya biashara ya bolt/Uber/paisha etc
Leseni yake ni daraja D ana uzoefu mkubwa wa kuendesha hapa dar es salaam.
Ni mstaarabu na na mtunzaji nzuri wa chombo cha boss. Ana umri wa miaka 32.
PM kwa maelezo zaidi