M mama yetu Member Joined Oct 4, 2021 Posts 19 Reaction score 83 Oct 17, 2022 #1 Habari Kuna dereva wa kike anatafuta gari kwa ajili ya biashara ya bolt/Uber/paisha etc Leseni yake ni daraja D ana uzoefu mkubwa wa kuendesha hapa dar es salaam. Ni mstaarabu na na mtunzaji nzuri wa chombo cha boss. Ana umri wa miaka 32. PM kwa maelezo zaidi
Habari Kuna dereva wa kike anatafuta gari kwa ajili ya biashara ya bolt/Uber/paisha etc Leseni yake ni daraja D ana uzoefu mkubwa wa kuendesha hapa dar es salaam. Ni mstaarabu na na mtunzaji nzuri wa chombo cha boss. Ana umri wa miaka 32. PM kwa maelezo zaidi
happyxxx JF-Expert Member Joined Nov 14, 2020 Posts 603 Reaction score 1,973 Oct 17, 2022 #2 Leseni yake itamwangusha, kuendesha public transport ni kuanzia daraja C.
Licking Wounds JF-Expert Member Joined Nov 28, 2014 Posts 4,511 Reaction score 6,099 Nov 17, 2022 #3 happyxxx said: Leseni yake itamwangusha, kuendesha public transport ni kuanzia daraja C. Click to expand... Aah wapi! Uber wengi wana class D! Class C si mchezo we binti
happyxxx said: Leseni yake itamwangusha, kuendesha public transport ni kuanzia daraja C. Click to expand... Aah wapi! Uber wengi wana class D! Class C si mchezo we binti