Mahakamn pagum mkuu, safar hakuna.. Vikao vinafanyika apa apa dodoma.. Kama ni jumuishi basi wana connect wanafanya kwa mtandao.. Halmashaur wengi wana safari, overtime kila siku.. Hufi njaaWakuu, kati ya hao wawili yupi ana mslahi mazuri, sababu kuna kila dalili za kutoboa interview ya iliyoanza Jana ya Mahakama, na hapohapo nishahakikishiwa na mkurugenzi ndugu yangu wa halmashauri moja hivi hapa nchini ambako nimetuma maombi kwamba kazi ipo.
Kule ma senior ndio wanakula bata... Wengine ni matesoMahakama ukitoboa pga nao kazi.
Na pale nit walitufundisha utunzaji wa siri za vips wetu[emoji16]Sasa siri zako zimekushinda kutunza sijui siri za ofisi na huyo Boss atakayeendeshwa na wewe kama zipo salama.
Hakuna Siri yoyote uliyogundua hapo, hujajua huyo mkurugenzi ni nani wala Mimi ni nani, na kingine mie mwenyewe nimeuliza kwa niaba, bwana mdogo ndo yuko kwenye mchongo huo.Sasa siri zako zimekushinda kutunza sijui siri za ofisi na huyo Boss atakayeendeshwa na wewe kama zipo salama.
Ngo'mbe hakuna kipindi kilikuwa na ujinga wa ajira Kama enzi ya JPMKoneksheni zinatamalaki... hiki ndicho JPM alikua hataki.
Swali lako ulitakiwa uliweke hivi, kati ya mahakama na halmashauri wapi kuna wizi wa mafuta kwa madereva?Wakuu, kati ya hao wawili yupi ana mslahi mazuri, sababu kuna kila dalili za kutoboa interview ya iliyoanza Jana ya Mahakama, na hapohapo nishahakikishiwa na mkurugenzi ndugu yangu wa halmashauri moja hivi hapa nchini ambako nimetuma maombi kwamba kazi ipo.
Kama huyo mkurugenzi ameongea na "bwana mdogo" tu (kama sio wewe). Unadhani akisoma post hii anapata picha gani? Kulikuwa na tatizo gani kuuliza bila kutaja uhusiano wako na huyo mkurugenzi?Hakuna Siri yoyote uliyogundua hapo, hujajua huyo mkurugenzi ni nani wala Mimi ni nani, na kingine mie mwenyewe nimeuliza kwa niaba, bwana mdogo ndo yuko kwenye mchongo huo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Swali lako ulitakiwa uliweke hivi, kati ya mahakama na halmashauri wapi kuna wizi wa mafuta kwa madereva?
Kwani wewe unaona amepata picha gani? Na umejuaje amepata picha hiyo? Kwan nisingetaja uhusiano naye ndo ingekuwaje?Kama huyo mkurugenzi ameongea na "bwana mdogo" tu (kama sio wewe). Unadhani akisoma post hii anapata picha gani? Kulikuwa na tatizo gani kuuliza bila kutaja uhusiano wako na huyo mkurugenzi?