YHK geneous
Senior Member
- Jun 24, 2017
- 188
- 122
Ukisema ni wewe, utakuwa umepungukiwa na nini?
[emoji23][emoji23][emoji23] i saw this coming aisee
Leseni iliyokamilikia ndiyo leseni gani hiyo?Habari za humu ndani,
Nina ndugu yangu yeye ni dereva wa canter, kuanzia tani 2, 3 mpaka magari makubwa anaendesha.
Ni mzoefu wa kazi husika kwa miaka mingi, Leseni hai iliyokamilika. Kwa sasa hana gari ya kuendesha, naomba kama kuna mtu anatafuta dereva tuwasiliane.
0757028103
Njia nyepesi ya kupata ni kwa huyo dereva kusema kama ana connection za kazi pia maana atapewa gari tuu bila ya yeye kujua machimbo ya kazi.
Kuna watu wana hela zipo tuu wanatamani hiyo tasnia ya isafirishaji ila wapo stranded sasa huyo dereva aende extra miles aseme nina uhakika wa kukuconnect na wafanya biashara ambapo tutakuwa na uwezo wa kupata fedha kiasi X, hapo mtu atashawishika kumpa gari.
All in All I wish you Good luck guys.
Leseni iliyokamilikia ndiyo leseni gani hiyo?
Kama ukiweka madaraja ya hiyo leseni yake huoni kuwa taarifa inakuwa inajieleza zaidi? Ni maoni yangu tu lakiniHapo ni kwa maana ya leseni iliyohai, na yenye sifa za kuendesha magari husika...
Kama ukiweka madaraja ya hiyo leseni yake huoni kuwa taarifa inakuwa inajieleza zaidi? Ni maoni yangu tu lakini