Dereva wa tax alimpakiza mzungu kwa bahati mbaya yule dereva ukamtoka ushuzi wa kimya kimya. Dereva akadhani mzungu hajashtukia. Jamaa akazuga kwa kuanzisha mazungumzo na kumuuliza mzungu Je hali ya hewa ya kwetu unaionaje? Mzungu akacheka kidogo kisha akamjibu Hali kama itaendelea hivi inaweza ikanyesha mvua ya mavi muda si mrefu
Kilichofata dereva kwa kujistukia akajikuta amejamp tena, ila wakati huu ilisika ringtone kabisa, mzungu akasema radi hizo zimeanza mvua ya mav...i itanyesha mda c mrefu..