Dereva natafuta kazi

Dereva natafuta kazi

TERNe

Member
Joined
Sep 22, 2023
Posts
89
Reaction score
98
Nina miaka 25,elimu yangu ni secondary baada ya hapo nlienda chouo cha tourism lakin kwa bahati mbaya siku weza kumaliza chuo.

Nilikua na fanya kazi kwa wachina wa bonanza kama dereva mwanza kwa mda wa miez tisa ila kwa sasa maboss zangu wamerudi china.

Natafuta kazi na naomba mnisaidie connection za kazi ya udereva wa nyumbani, taasisi(NGO), private na kukodishwa.

Nipo available lesen yangu ni class D na B, naendesha manual na automatic.

Contact:+255694934864

Location: Flexible(kwasasa niko Mwanza)

Uaminifu mbele natanguliza shukurani zangu.
 
Tafuta kazi ujipange kupata cheti cha nit kitakusaidia kupata kazi kwa urahisi alafu ongeza madaraja mkuu.
 
Check hii link

ajiraleo.com/2023/10/driver-at-world-vision-tanzania-october.html
 
Taesa wanazo nafasi za kazi kwa madereva.... wahi ila ni Dar es salaam na wanataka uwe na class E ya magari makubwa... na cheti cha UDEREVA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom