James Kimaka
Member
- Feb 27, 2022
- 6
- 8
Habari za kazi wakuu,
Mimi ni dereva, ninahitaji ajira kuendesha gari ya shule, daladala au gari binafsi. Nina vyeti na leseni yenye madaraja A,A2,B,D,C1,C2,C3,E. tafadhali share na wengine kadri uwezavyo.
Napatikana kwa namba 0743830515