Mwajiriwa:"Boss umeniita?"
Boss:"Yeah,nenda ukapige
punyeto{masterbate}."
Mwajiriwa: (baada ya muda)
"Tayari boss,nimepiga."
Boss:"Nenda kapige tena!"
Mwajiriwa: (baada ya muda
mfupi) "Tayari,nimeshapiga
tena."
Boss:"Ok,nenda kapige tena
mara ya mwisho."
Mwajiriwa:"Boss nimeishiwa
na nguvu,sina tena uwezo wa
kupiga punyeto."
Boss:"Vizuri sana,haya sasa
chukua funguo za
gari...mpeleke binti yangu
nyumbani."