Ernest lukindo
Senior Member
- Jul 29, 2015
- 162
- 116
Mungu akupe hitaji la moyo wako
Amini katika Mungu utapata tu rafiki ila angalizo: Uber wanahitaji uwe na lesini Daraja C1, C2, C3 au C hivyo ni vema ukajitahidi uongeze madaraja kasomee PSV japo mimi ninayo ila mpaka leo nado nahangaika kutafuta gari ya Uber
Basi ni vizuri mkuu pambana tu Mungu atakupa hitaji lakoKwangu Nilipokelewa Vizuri tu na kusajiliwa vyema baada kupewa HATI YA TABIA NJEMA,WIZARA YA MAMBO YA NDANI.
Basi ni vizuri mkuu pambana tu Mungu atakupa hitaji lako
Mkuu, Samahani kwa kwenda kidogo nje ya uzi wako, Naomba kufahamu ni process gani ulipitia mwanzo mpaka mwisho ulivyoenda kuchukua hati ya tabia njema wizarani??Kwangu Nilipokelewa Vizuri tu na kusajiliwa vyema baada kupewa HATI YA TABIA NJEMA,WIZARA YA MAMBO YA NDANI.
Ni elf 2 unalipia benk, watakupa pale account namb! Utaandika barua ya Kuomba hiyo hati, Ila ukienda kule lazima uwe na passport mbili nyuma kitambaa cha blue na husiwe umevalia nguo nyeupe, Copy ya Cheti cha kuzaliwa.. jitahd uwah asubuhi kunakuwaga na foleni... Kingine baad ya kuchukua alam za vidole, na kuzaja zile form zao watakuambia urudi baad ya siku 14 za kazi toka siku hiyo...Mkuu, Samahani kwa kwenda kidogo nje ya uzi wako, Naomba kufahamu ni process gani ulipitia mwanzo mpaka mwisho ulivyoenda kuchukua hati ya tabia njema wizarani??
Daaah yaani hizo procces ndio zinapima tabia njema?Ni elf 2 unalipia benk, watakup:a pale account namb! Utaandika barua ya Kuomba hiyo hati, Ila ukienda kule lazima uwe na passport mbili nyuma kitambaa cha blue na husiwe umevalia nguo nyeupe, Copy ya Cheti cha kuzaliwa.. jitahd uwah asubuhi kunakuwaga na foleni... Kingine baad ya kuchukua alam za vidole, na kuzaja zile form zao watakuambia urudi baad ya siku 14 za kazi toka siku hiyo...
Ulishapata chombo mkuu?
Unapatikana wapi?
Kuna jamaa yangu alikua anatafuta mtu amkabidhi bajaji,kama bado haujapata,nimuulize jamaa kama ameshapata mtu