SOKO LA MAGARI
Senior Member
- Oct 26, 2014
- 115
- 66
Una gari gani? Sio nije unipe vitz au startet glanza sitokuelewa aisee[emoji57] [emoji57] [emoji57]DEREVA MZOEFU WA KUTUMIA NETWORK YA UBER ANAHITAJIKA HARAKA
Dereva aliyewahi kutumia UBER kwa muda usiopungua mwezi mmoja na mwenye ujuzi wa kuendesha kwa zaidi ya miaka mitatu na awe na leseni anahitajika haraka:
1. awe na barua toka serikali za mtaa anakoishi
2. wadhamini wawili wenye ajira hasa madereva wanao mjua vema
3. Awe anaishi mkoa wa Dar es salaam
4. Umri kati ya 25 yrs hadi 50 yrs
5. Awe amesajiliwa na hana tatizo lolote UBER
Muda wa tangazo mwezi mmoja tu tangu leo
Mawasiliano jibu hapa chini au PM
Atakupa fortuner....Una gari gani? Sio nije unipe vitz au startet glanza sitokuelewa aisee[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Yeah fortuner nzuri sana zipo juu 4×4 hata kwenu madongo kuinama napita tu tena haswa hizi new model itakuwa poa sana!!Atakupa fortuner....
Af ww ni keAtakupa fortuner....
Yeah fortuner nzuri sana zipo juu 4×4 hata kwenu madongo kuinama napita tu tena haswa hizi new model itakuwa poa sana!!
Mmmmh sijuiAf ww ni ke
Duh unampangia boss wakoUna gari gani? Sio nije unipe vitz au startet glanza sitokuelewa aisee[emoji57] [emoji57] [emoji57]
una shida na kazi serious?!!!Mie ni dereva wa uber. Kama upo kwel unatafuta dereva ni Pm
Ndio bestuna shida na kazi serious?!!!
sasa una shida na kazi halafu wataka boss ndio akupm, kwanini usimtafute wewe tena fasta?Ndio best
Asante kwa ushaursasa una shida na kazi halafu wataka boss ndio akupm, kwanini usimtafute wewe tena fasta?
sasa una shida na kazi halafu wataka boss ndio akupm, kwanini usimtafute wewe tena fasta?
Tunashangaza kwakweliShukran na Hongera sana kwa ushauri , watanzania ndivyo tulivyo, sijajua haya ndio madhara ya UJAMAA ? "UJAMAA NA KUJITEGEMEA" "BINADAMU WOTE NI SAWA " majirani zetu wapo tafauti sana kwenye utafutaji na fursa