madereva.wawili.walikutana.ktkt.ya.daraja.na.mmoja.wao.alikua.gari.lake.limejaa.mzigo.akamuomba.mwenzake.arudishe.gari.nyuma.lakini.alifanya.kama.hamsikii.na.ndio.kwanza.akatoa.kitabu.akawa.anasoma.yule.dereva.mwenye.mzigo.akashuka.akamfata.na.kumwambia.samahani.ukimaliza.na.mimi.naomba.uniazime.braza
aisee, kuandika kwako ni shida, hebu rudi shule
Hii imetumwa kwa mobile phone
madereva.wawili.walikutana.ktkt.ya.daraja.na.mmoja.wao.alikua.gari.lake.limejaa.mzigo.akamuomba.mwenzake.arudishe.gari.nyuma.lakini.alifanya.kama.hamsikii.na.ndio.kwanza.akatoa.kitabu.akawa.anasoma.yule.dereva.mwenye.mzigo.akashuka.akamfata.na.kumwambia.samahani.ukimaliza.na.mimi.naomba.uniazime.braza
Braza kabla ya kutuma ulichoandika ulitakiwa uone wenzio wtaweza kuelewa, shida tupu sasa hata sijui kwa nini nilifunfua post yako
ni kweli ujumbe umefika lkn akikosea aambiwe, maswala ya wabongo kufichana kuoneana aibu ndo yametufikisha hapa tulipo.Kikubwa ujumbe umefika, what is writting bana!!:mod:
so what? Mbona tunaotumia mobile humu ndani tupo wengi sana lakini hatuweki hizo nukta?
Ina maana hata kutumia simu yako hujui, hadi unashindwa kuweka space?