We acha madereva wa serikali nao pia ni mabosi na magari ni ya kwao maana wanalala nayo nyumbani. Huu ni mfumo mbovu kwani madereva wa UN magari wanalaza ofisini. Madereva wa serikali barabara ni zao wenye na sio madereva wa SU wanaoendesha STK, DFP. Jana nilimwona dereva mmoja anaendesha DFP pale Kituo cha Korogwe Kimara anatokea Kimara anapita kwenda mjini anapita kwenye barabara ya magari yanayoenda Kibaha. Hayo ni madereva wa serikali....