Mimi ni kijana umri miaka 33 ni dereva mwenye leseni daraja c kavu nimesoma NIT na nifundi magari makenika level 1 nimesoma veta ninao ujuzi wa kutosha kwenye ufundi na udereva niko tayari kufanya kazi popote Tanzania ili mradi maslai yawe mazuri,No 0784 619897