Mwanyololosya
Member
- Sep 6, 2018
- 7
- 7
Ana leseni class C1, C2, C3, D, E ikiwa kazi yoyote kwenye kampuni au kwa watu binafsi, msaidieni wana jf
Nilitaka kumwambia hivyo hivyo nikakosa namna ya kuattach huo uzi
Atakuwa kapata taarifa japo hajarudi kusema.Nilitaka kumwambia hivyo hivyo nikakosa namna ya kuattach huo uzi
Asante nimeiona ilaa nikifungua ina load tuuAtakuwa kapata taarifa japo hajarudi kusema.
Jaribu tena na tena.Asante nimeiona ilaa nikifungua ina load tuu
Ana miaka 26 anapatikana bagamoyohuyo dereva anapatikana mkoa gani, ana miaka mingapi
Mkuu na mm dereva piahuyo dereva anapatikana mkoa gani, ana miaka mingapi