Habari wana jf, kwa anayehitaji dereva awe ni mtu binafsi, na yasiwe magari ya biashara, anapatikana muda wowote, kwa namba 0789575784,
Wapo watakuja.
Maana siku hizi madereva wanavyowauza Mabosi wao,kazi kweli.
Ila ujiandae na kazi ya ukuwadi pia,maana nawaona wenzio wanavyotaabika na kutumwa na madem au nyumba ndogo za mabosi wao.Ila hizo ni changamoto ndogo lakini zinawashinda wengi na kuwa wapole