Hahahaha kama ulivyofanya sio...!mkuu zillo one jina lako ndo linalokuhukumu hapa,jaman hata kama ni fake Id basi jibunie inayoendana na pale unapotaka kuitumia.
Hahahaha kama ulivyofanya sio...!mkuu zillo one jina lako ndo linalokuhukumu hapa,jaman hata kama ni fake Id basi jibunie inayoendana na pale unapotaka kuitumia.
dogoo sasa viabudu vinakutoa jasho je ukipanda matreni ya huku mambele siutajam...kitu kinaserereka maamae hadi ikikupita rangi huikumbuki ni laana chaliiyangu. Ukiona inavyokatiza hilo daraja kifaa kinabwaka kikiibuka maamae mpo stockholm. Kikizama tena na kichomoze mpo oslo. Kweli Mzungu hajakariri kasoma nakuelewa.
Mi nashangaa hawa wanaita haya yetu mabasi yaendayo kasi, hawajaona Fjar Tag hawa. Mi nilikuwa nayaogopa yale madude hata sijawahi panda. Nilikuwa najipandia Pendaltag au Tunnelbana tu. Yaani Unasikia tu "fyaaaaa" halafu limeshapotea! Wale jamaa mle ndani wanajisikiaje? 365km/hour? Hawanipati kamwe!!