Wewe sema unajipendekeza kwa mleta mada huna lolote,ulivyotumia wewe lugha ya matusi kwangu ulifikiri ningekuacha sio?
Acha kujipendekeza,unaweza kukuta mleta mada wala hana hata hiyo Depression ila anatafuta attention tu,cheap papularity,
Huwezi kua na tatizo kisha ukataka msaada huku ukiwa hutaki kutaja tatizo lenyewe,
Hebu muulize mleta mada hili swali,
Lengo la yeye kuweka huu uzi ni nini hasa?