Pole sana rafiki, jaribu nenda vituo vya tiba, soma hatua kwa hatua za tiba mtandaoni utakuwa sawa
Ikishindikana share nasi hapa utatoka salama hata kama ni material things watu ni bima mwaka huu utarudi unapopataka.
Mimi nikiwa na stress huwa natembelea hospital nikitoka hapo natoka na nguvu mpya kabisa maana nakutana na mtu ana umwa wa leo na kesho ila ana tabasamu najikuta ni mjinga narudi kupambana tena.