Pole sana bina, jaribu kuelezea kinachokusibu upate tiba japo kuna watu wa backbencher watakuzingua lakini wapo watakaokupa ushauri mzuri..!! FUNGUKA USAIDIKE
Pole sana bina, jaribu kuelezea kinachokusibu upate tiba japo kuna watu wa backbencher watakuzingua lakini wapo watakaokupa ushauri mzuri..!! FUNGUKA USAIDIKE
Soma comment yako # 77 jinsi ulivyonivunjia heshima,tena umequote comment yangu ambayo nilikua najadili jambo na mtu mwingine kabisa ukadandia na kashfa zako kwangu ulifikiri ningekuchekea?
Nini sasa au mitihani ya UE? Maana mke wangu alikuwa anaogopa mitihani kuliko HIV aisee.Tuambie labda dawa tunayo anyway DAWA KUBWA YA STRESS AU SONOMA NI DHARAU NA KUMUACHIA MUNGU AMBAYO HUNA CONTROL NAYO