Yes Wilder by KO, safari hii no JanjaJanjaWilder atamchakaza Fury ni suala la muda tu.
Hawa ndiyo mabondia sasa siyo Yule fala JoshuaAaah nilijua mike tyson
Hahahaha hivi yule aliyezimishwa anaendeleaje saizi?Hawa ndiyo mabondia sasa siyo Yule fala Joshua
Utachana mkeka, unamdhamini jamaa kwasababu anaitwa tyson?hela yangu naweka kwa kipara huyo mmarekani hajawahi nivutia kabisa.
The bronzebombsIle rematch iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na wapenzi wa masumbwi duniani hatimaye imekuwa confirmed baada ya pambano lao la kwanza lililofanyika Dec1, 2018 kuisha kwa sare. Tyson Fury mara kadhaa ameonekana 'akijimwambafy' huko Instagram kwamba safari hii atamuoutbox vibaya 'The big dosser' kuliko alivyofanya pambano la kwanza, je ni kweli ataweza kufanya hivyo tena kwa mwamba huyo wa KO au ilikuwa bahati? Je AJ atampa sapoti muingereza mwenzake Fury ya kufanya nae sparring kama alivyoahidi? Let wait n' see....
Pambano hilo la ubingwa wa WBC linatarajiwa kufanyika mnamo Feb22 mwaka 2020 MGM Grand,Las Vegas---Marekani.View attachment 1305334
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1] hapana namkubali jamaa yuko vzr sana tu acha niweke hela hapo uk..Utachana mkeka, unamdhamini jamaa kwasababu anaitwa tyson?
Ile rematch iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na wapenzi wa masumbwi duniani hatimaye imekuwa confirmed baada ya pambano lao la kwanza lililofanyika Dec1, 2018 kuisha kwa sare. Tyson Fury mara kadhaa ameonekana 'akijimwambafy' huko Instagram kwamba safari hii atamuoutbox vibaya 'The big dosser' kuliko alivyofanya pambano la kwanza, je ni kweli ataweza kufanya hivyo tena kwa mwamba huyo wa KO au ilikuwa bahati? Je AJ atampa sapoti muingereza mwenzake Fury ya kufanya nae sparring kama alivyoahidi? Let wait n' see....
Pambano hilo la ubingwa wa WBC linatarajiwa kufanyika mnamo Feb22 mwaka 2020 MGM Grand,Las Vegas---Marekani.View attachment 1305334
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini unasema hivyo? Fury ni fundi, sema hapo itakuwa ni Ufundi vs POWER
Hiyohiyo style isiyovutia ndo imewalambisha sakafu watu 41 aliopigana naohela yangu naweka kwa kipara huyo mmarekani hajawahi nivutia kabisa.
Kwani ukipigana Marekani ndo unakuwa na nguvu sana?[emoji3]Wilder ni mkali sana but why hapigani nje ya Marekani?