Deogratius Kisandu akirudi CCM ndio nitaifagilia, Watalamba dume

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
1,885
4,010
Siku huyu akirudi CCM ni balaa. Jamaa ni Genius sema wanamuogopa sana ana sifa zote za kuwa Rais wa nchii hii na ni mzalendo

Tusisahau pia jinsi ambavyo amekuwa akifanyiwa vituko na vikwazo vya maisha na system ili kumvuruga lakini wapiiii bwana, Jamaaa liko Imara sana

Ladies and gentelemen, nawaletea kwenu MTEMI Deo Kisanduuuuuuu.

 
siku huyu akirudi ccm ni balaa,jamaa ni Genius,sema wanamuogopa sana,ana sifa zote za kuwa Rais wa nchii hii na ni mzalendo
Tusisahau pia jinsi ambavyo amekuwa akifanyiwa vituko na vikwazo vya maisha na system ili kumvuruga lakini wapiiii bwana,Jamaaa liko Imara sana
Ladies and gentelemen, nawaletea kwenu MTEMI Deo Kisanduuuuuuu.

Huyu naye ccm wanamuombea njaa impige ndo waanze kummendea!!!!.ngojea njaa imkabe utaona tu na yeye ataomba kutumiwa!!!
 
Huyu wanamuandalia dau la juu utakua usajiri uliovunja rekodi kipindi hiki cha dirisha dogo!
 
Back
Top Bottom