CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,358
- 6,422
Balile anazinguaNimemsikiliza Deodatus Balile leo StarTv tuzungumze magazeti, mhhhhhhhhh! ameniacha hoi! Haoni tatizo lolote na awamu ya Tano! Kila kitu ni shwari na salama. ANASIFIA KILA KITU, Amebadilika, kweli woga umetamalaki kila kona!
Odero and Pasco are more analytical and critical thinkers than Balile, Balile ameangukia kwenye kundi la kusifia kama CCM!
It's almost 90% of 'them all'Nimemsikiliza Deodatus Balile leo StarTv tuzungumze magazeti, mhhhhhhhhh! ameniacha hoi! Haoni tatizo lolote na awamu ya Tano! Kila kitu ni shwari na salama. ANASIFIA KILA KITU, Amebadilika, kweli woga umetamalaki kila kona!
Odero and Pasco are more analytical and critical thinkers than Balile, Balile ameangukia kwenye kundi la kusifia kama CCM!
Ni kweli mkuu hajamsikiliza vyema. Balile yeye anaongea tena kwa mifano tofauti Na wenzie ingawa Si lazima iwe Ni ya ukweliHapana hujamsikiliza vizuri, au umekuta katikati ya mazungumzo hebu msikilize sasa wanarudi mwanza
Unabalance mjadala kwa kusema lisilo la kweli. Hapana Rweye!Si vizuri wote wakawa upande mmoja ili kubalansi mjadala, na hili ndo alilolifanya Balile na limenogesha mjadala wao.
Mshana sijakuelewa, 90% by what!It's almost 90% of 'them all'
Wanaoangukia kwenye kundi la kuisifia ccmMshana sijakuelewa, 90% by what!
Nillmwona kwenye taarifa ya habari akiwa kijijini kwake mkoani KageraNimemsikiliza Deodatus Balile leo StarTv tuzungumze magazeti, mhhhhhhhhh! ameniacha hoi! Haoni tatizo lolote na awamu ya Tano! Kila kitu ni shwari na salama. ANASIFIA KILA KITU, Amebadilika, kweli woga umetamalaki kila kona!
Odero and Pasco are more analytical and critical thinkers than Balile, Balile ameangukia kwenye kundi la kusifia kama CCM!
Yes unaona ka tendency ka hivyo!Wanaoangukia kwenye kundi la kuisifia ccm
Hata leo amegusia huyo mzungu. Balile by that token hawezi kuona mapungufu ya awamu hii. Just a single issue ya kupata kibanja, amesahau kuwa kuna tatizo na JPMNillmwona kwenye taarifa ya habari akiwa kijijini kwake mkoani Kagera
a akifurahi mzungu kunyang'anywa shamba. Inaonekana naye amepata kihamba hapo. Kwa hiyo kuitetea serikali ni haki yake.