Pyepye Member Joined Oct 24, 2012 Posts 78 Reaction score 10 Jul 5, 2014 #121 Shekizongoro said: Jamaa ni mwalim wa special education. Athari za hii kozi ni kuzalisha professionals wenye kupenda lihurumiwa, kulialia, na kuchukulia kila kitu kwa mtazamo hasi. Maana wao wanakuwa walemavu kuliko clients wao Click to expand... Ya kisandu mwachie kisandu lkn usidhalilishe fani za watu ebo!
Shekizongoro said: Jamaa ni mwalim wa special education. Athari za hii kozi ni kuzalisha professionals wenye kupenda lihurumiwa, kulialia, na kuchukulia kila kitu kwa mtazamo hasi. Maana wao wanakuwa walemavu kuliko clients wao Click to expand... Ya kisandu mwachie kisandu lkn usidhalilishe fani za watu ebo!
Shekizongoro JF-Expert Member Joined Dec 9, 2013 Posts 388 Reaction score 153 Jul 5, 2014 #122 Pyepye said: Ya kisandu mwachie kisandu lkn usidhalilishe fani za watu ebo! Click to expand... Samahani mkuu; nimecommit fallacy of generalization maana sjaona mwenye nafuu aliesoma haya madude
Pyepye said: Ya kisandu mwachie kisandu lkn usidhalilishe fani za watu ebo! Click to expand... Samahani mkuu; nimecommit fallacy of generalization maana sjaona mwenye nafuu aliesoma haya madude
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 137,707 Reaction score 272,592 Jul 5, 2014 #123 Usaliti ni laana !
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 137,707 Reaction score 272,592 Jul 5, 2014 #124 Shekizongoro said: Samahani mkuu; nimecommit fallacy of generalization maana sjaona mwenye nafuu aliesoma haya madude Click to expand... He ! Unasema kweli ?
Shekizongoro said: Samahani mkuu; nimecommit fallacy of generalization maana sjaona mwenye nafuu aliesoma haya madude Click to expand... He ! Unasema kweli ?
L lupe JF-Expert Member Joined Apr 1, 2013 Posts 5,656 Reaction score 218 Jul 5, 2014 #125 Magamba mchukuweni mtu wenu.
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,259 Reaction score 13,268 Jul 5, 2014 #126 kimbawala said: Magamba mchukuweni mtu wenu. Click to expand... Hawana time nae kwani kwa sasa hawezi kuwasaidia chochote,kiufupi hana soko tena.
kimbawala said: Magamba mchukuweni mtu wenu. Click to expand... Hawana time nae kwani kwa sasa hawezi kuwasaidia chochote,kiufupi hana soko tena.
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 38,907 Reaction score 28,081 Jul 5, 2014 #127 Angetakiwa amalizie " Mungu ibariki CCM"
Mhere Mwita JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 235 Reaction score 1,275 Jul 8, 2014 #128 Nenda zako wewe hata hujulikani
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 137,707 Reaction score 272,592 Jul 8, 2014 #129 Mhere mwita said: Nenda zako wewe hata hujulikani Click to expand... usaliti utatafuna hadi kizazi chake cha nne .
Mhere mwita said: Nenda zako wewe hata hujulikani Click to expand... usaliti utatafuna hadi kizazi chake cha nne .