Deni la Tanzania

Marekani ina deni la usd 15,000,000,000,000 ambalo kwa tz ni sawa tsh 225,000,000,000,000,000/-
 
Na ukimpa mtu azihesabu hizo noti za elfu kumikumi noti 1,440,000,000 bila kupumzika (24hrs) kwa wastani wa sekunde moja kila noti, atatumia miaka 45(400,000 hours) kumaliza kuzihesabu hizo noti (kama atapumzika itakuwa ni zaidi ya 45yrs) sijui kama atakuwa hai? maana life expectancy ya mtanzania ni 52yrs.
 

Hahahahahahahahahahahahahhaha
Daaaaaaah great thinker
Pokea LIKe
 
Marekani ina deni la usd 15,000,000,000,000 ambalo kwa tz ni sawa tsh 225,000,000,000,000,000/-
Hii ni kujaribu kuhalalisha upuuzi kwa kutumia mapungufu ya wenzenu, wamelipata deni hilo katika harakati za kupambana na economic recession kwa asilimia kubwa, nyie hilo deni lenu mmelipata kwasababu ya nini? Budget yao 100% ni mapato ya serikali (Independent budget) Nyie budget yenu inakuwa subsidized na mataifa ya nje kwa kiasi gani?

Watu wengine bwana!!!!
 
Trillioni laki mbili na ef ishirini na tano za kitanzania,kwanza cha msingi inabidi tujue je hilo deni linashikiriwa na akina nani?asilimia ngapi wanadai watu wa nje na asilimia ngapi wanadai watu wa nje?hapo ndo ntawaelimisha kuhusiana na madeni ya nchi afu ukizingatia nipo dar


Hebu tamka hizi figures kwa lugha rahisi. Hizo sifuri ndo tatizo aisee
 

Kwani kuwepo kwako dar ndio kunakuaje labda???
 
Tunadai wale twiga na yule mjusi (dinosaur) wetu kule Germany

Labda na Uganda au ilikuwa vita ya ukombozi? Na hili deni linalipwaje? Niko tayari kulipa la kwangu na familia yangu na ole wao ukute mtu alinyofoa kwenye mkopo tuliopewa akaweka Uswisi laana itampatiliza.
 
Labda na Uganda au ilikuwa vita ya ukombozi? Na hili deni linalipwaje? Niko tayari kulipa la kwangu na familia yangu na ole wao ukute mtu alinyofoa kwenye mkopo tuliopewa akaweka Uswisi laana itampatiliza.

Kama dua la kuku vile. Watu wanapiga mpk sadaka jombaa.
 
kwepo kwa dar inasaidia nini,acha kutoa maelezo yasiyo na msingi na acha kukwepo swali,ishu ni kwamba
hizo hela zimetumika kufanya nini,la msingi ueleze jinsi hizo hela zilivyotumika si kingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…