Deni la taifa sio halisia lazima tumepigwa

uzio usio onekana

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2019
Posts
877
Reaction score
2,779
hivi ni nani anaye jua uhalisia na uhakika wa deni la taifa,

kwa sababu wanasema ndani ya miaka mitano deni la taifa limeongezeka kwa karibia Trion 40
hizo pesa ni nyingi sana kiasi kwamba haziendani maendeleo yalipo Tanzania,

na ninajiuliza ilikuwaje rais wa bukinafaso aliweza kulipa deni la taifa kwa muda mchache vile,

nikaja nikagundua lazima traore baada ya kufanya ukaguzi akagundua sehemu kubwa ya deni la taifa ilikuwa ni fake, na hiyo inaweza ikawa sawa na Tanzania unaweza ukute 50% ya deni la taifa ni riba.

na inawezekana kabisa kuna viongozi ambao sio waaminfu yani wacheza madili wakishirikiana na wakina rostam nao wamepachika madeni yao ya uongo kupitia mabenki ya nje kwahiyo hela zinaingia kila mwezi kwenye acaunt zao, na inawezekana kabisa deni letu la taifa tukipata wazalendo wakweli hilo deni ukilicalculator linaweza lisifike Trion 30 ukitoa riba nk.
 
Tutajua tu..!!
 
Polepole kasema Angela Kizigha ana hela ambazo akiamua kulipa deni la taifa peke yake analipa na chenchi anabaki nayo.
 
hivi ni nani anaye jua uhalisia na uhakika wa deni la taifa,

kwa sababu wanasema ndani ya miaka mitano deni la taifa limeongezeka kwa karibia Trion 40
hizo pesa ni nyingi sana kiasi kwamba haziendani maendeleo yalipo Tanzania,

na ninajiuliza ilikuwaje rais wa bukinafaso aliweza kulipa deni la taifa kwa muda mchache vile,

nikaja nikagundua lazima traore baada ya kufanya ukaguzi akagundua sehemu kubwa ya deni la taifa ilikuwa ni fake, na hiyo inaweza ikawa sawa na Tanzania unaweza ukute 50% ya deni la taifa ni riba.

na inawezekana kabisa kuna viongozi ambao sio waaminfu yani wacheza madili wakishirikiana na wakina rostam nao wamepachika madeni yao ya uongo kupitia mabenki ya nje kwahiyo hela zinaingia kila mwezi kwenye acaunt zao, na inawezekana kabisa deni letu la taifa tukipata wazalendo wakweli hilo deni ukilicalculator linaweza lisifike Trion 30 ukitoa riba nk.

shida ya Tz kwa sasa, ni kuwa HATUNA RAIS hatuna kiongozi anayeliongoza taifa. hayupo!

nchi inajiendea tu

ni hatari sana !!!!
 
Uwezekano wa namba kushushwa ni 1% mkuu, ukisikiliza waziri mwenye dhamana vile anaforce kuaminisha watu deni dogo ndo utaelewa.

Uwezekano mkubwa Deni ni kubwa kuliko linalojatwa.
 
yote inawezekana ila kwasasa Tanzania inahitaji akili kubwa sana,
 
hivi ni nani anaye jua uhalisia na uhakika wa deni la taifa,

kwa sababu wanasema ndani ya miaka mitano deni la taifa limeongezeka kwa karibia Trion 40
hizo pesa ni nyingi sana kiasi kwamba haziendani maendeleo yalipo Tanzania,

na ninajiuliza ilikuwaje rais wa bukinafaso aliweza kulipa deni la taifa kwa muda mchache vile,

nikaja nikagundua lazima traore baada ya kufanya ukaguzi akagundua sehemu kubwa ya deni la taifa ilikuwa ni fake, na hiyo inaweza ikawa sawa na Tanzania unaweza ukute 50% ya deni la taifa ni riba.

na inawezekana kabisa kuna viongozi ambao sio waaminfu yani wacheza madili wakishirikiana na wakina rostam nao wamepachika madeni yao ya uongo kupitia mabenki ya nje kwahiyo hela zinaingia kila mwezi kwenye acaunt zao, na inawezekana kabisa deni letu la taifa tukipata wazalendo wakweli hilo deni ukilicalculator linaweza lisifike Trion 30 ukitoa riba nk.
LAITI KUNGEKUWA UKO KIMATAIFA PANAFICHWA KAMA HUMU NDANI TUNGEKOMA LKN NJEE MAMBO YANAWEKWA WAZIIII
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom