Denda limeniponza

Mleta Uzi anafaa sana kuwasimulia hadithi watoto wa chekechea
 
Tatizo huwa hamtaki kumsikiliza MTU hataki nini, mwenyew meno yangu mabovu nimeyaziba na cementi nimesota whole day kwa doctor , nikikwambia denda ctaki elewaa, maana meno yangu yakibongonyokaa , no relationship again.Huyo Dada maybe alishawah pata ajari meno yakatokaa na hayo aliyonayo n bandia, so listen wat ur partner ideas.
 
umejitahidi kwa hadithi yako nenda kaonane na yule msukuma wa bamaga
 
Sio vizuri kupost mada za uongo ambazo watu wazima na akili zao wanakosa hata cha kuchangia na pia kuboeka baada ya kusoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…