Demu muuza genge ananipenda

Punguza ujinga, kuombwa chenji ndiyo unamuwazia yote hayo...
 
Tuone hiyo mitupio yako, asije akawa anashangaa unavyotupia kidenzi afu ukajua manzi amekuelewa
 
Huu uzi bila kapicha ka huyu mwanaume akiwa katupia hayo matambala ni batili!
Pia ongezea na picha ya huyo binti akiwa anakushangaa!!
 
Wewe ni choko kweli,mwanaume hii ndo la kuleta humu,Bure kabisa
 
Hayo mambo ya kumkubali hayana ishu, Nyuzi kama hizi huwa nauliza swali moja tu, umeshapiga ?

 
dawa ya wanawake kama hao ni anasbo
 
Uje usemee umemlaaa kimasiharaaa sasa......
 
Kwahiyo kukusalimia,kukuomba chenji,na kukutazama tayari umejua anakupenda!inawezekana kama unavyosema unapiga pamba anakukubali uvaaji wako,sasa nakuonea huruma,siajabu siku utakapomwambia unahitaji kuwa naye kimapenzi ukabaki unashangaa anakutolea nje ukabakia kutoa macho...
 
Duh, utoto raha!
 
Kuuza genge siyo kilema, ni njia tu ya kujitafutia riziki. Unaposema demu muuza genge una wakwaza watu wengi. Kuna watu wanakazi nzuri ila wake zao wanauza magenge. Jifunze kuheshimu kazi za watu.

Wengine biashara za magenge ndo zimetusomesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…