Demu Kaniacha Ghafla Bila Sababu?

Kwani huko chuoni huoni mademu wengine ndo uje kumlilia huyu mmoja tu?

Man up bana.
 
Wanaume mna hasira sana? Are you guys okay kweli??....bro huyo mrembo kakuona hueleweki hujielewi na MUNGU kaamua kumpa ujasiri wa kuondoka kwa amani kabisa...amekuacha na hatokurudia na hakuna kibaya kitakachomkuta maishani na hatorudi kwako endelea kukimbizana na madem wako wa chuo hata usiwaze kama atakwama aumie akurudie (hii sio movie ya kiNigeria)[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaan sikuwahi jua kumbe ulibananishwa bwana. Ndo mana unatuita wanawake mashetani humu kumbe una lishetani lako huko πŸ˜‚πŸ˜‚
Wee wee wee, huyo mwanamke sio shetani. Huyo mwanamke ni very very kind human being na anajua kugegeduana acha kabisa. Hapa nina mpango wa kirudisha majeshi lakini sasa ndio hivyo nae ananikwepa kama ukoma sijui nifanye niniπŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Ulimkosea nini?
 
Ujana maji ya moto...sii unajua tena mambo ya kujidai kula mbususu. Sasa kumbe mie mwenyewe nilishapenda. Acha tuu mapenzi haya
Kumbe ulizingua mwenyewe πŸ˜‚πŸ˜‚ pole yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…