Nimekutana mtandaoni na mtoto ana profile ya kishua balaa, mtoto mkali hatari picha zake yuko paris, dubai, Monaco, Venice. Selfie zake ameshika iphonex. Kitanda cha queen size velvet upholstery, kwenye gari pure leathet seats, five star hotels etc, yaani ana bonge la profile. Nimechat nae kanipa namba yake tumeongea fresh. Dah mara paap kanitumia ujumbe eti kama sitojal eti nimtumie elfu 5 aweke umeme wa buku eti luku imeisha. Yaani toka zali la mentali hadi kidemu cha mizinga dakika sifuri.
Kaniacha hoi simtumii kwanza itakua kaiba picha za insta models wa mbele huko anatumia kama profile yake.
Happy ndo utakumbuka wimbo wa Bambo na Kingwendu...."haka kademu kademu ka mizinga babu hutakawezaa"Kweli kakuvuruga. Mpaka hii kitu umepost usiku mkali hivi
Nimekutana mtandaoni na mtoto ana profile ya kishua balaa, mtoto mkali hatari picha zake yuko paris, dubai, Monaco, Venice. Selfie zake ameshika iphonex. Kitanda cha queen size velvet upholstery, kwenye gari pure leathet seats, five star hotels etc, yaani ana bonge la profile. Nimechat nae kanipa namba yake tumeongea fresh. Dah mara paap kanitumia ujumbe eti kama sitojal eti nimtumie elfu 5 aweke umeme wa buku eti luku imeisha. Yaani toka zali la mentali hadi kidemu cha mizinga dakika sifuri.
Kaniacha hoi simtumii kwanza itakua kaiba picha za insta models wa mbele huko anatumia kama profile yake.
Kaniacha hoi simtumii kwanza itakua kaiba picha za insta models wa mbele huko anatumia kama profile yake.Nimekutana mtandaoni na mtoto ana profile ya kishua balaa, mtoto mkali hatari picha zake yuko paris, dubai, Monaco, Venice. Selfie zake ameshika iphonex. Kitanda cha queen size velvet upholstery, kwenye gari pure leathet seats, five star hotels etc, yaani ana bonge la profile. Nimechat nae kanipa namba yake tumeongea fresh. Dah mara paap kanitumia ujumbe eti kama sitojal eti nimtumie elfu 5 aweke umeme wa buku eti luku imeisha. Yaani toka zali la mentali hadi kidemu cha mizinga dakika sifuri.
Kaniacha hoi simtumii kwanza itakua kaiba picha za insta models wa mbele huko anatumia kama profile yake.
Yaani kukuomba buku tayari ishakuwa tatizo mpaka umeamua kufungua uzi humu. Angekuomba 50,000/= je ?. Na sisi wanaume kuna muda tunafeli. Hebu let's be positive sometimes. Yawezekana ni kweli luku imekata hivyo anataka anunue hata huo umeme wa buku ili afike asbh kama ni hela akafuate benki au huko anakokujua yeye. Mtu kuwa na high profile haimaanishi kuwa kamwe hawezi kukwama.Nimekutana mtandaoni na mtoto ana profile ya kishua balaa, mtoto mkali hatari picha zake yuko paris, dubai, Monaco, Venice. Selfie zake ameshika iphonex. Kitanda cha queen size velvet upholstery, kwenye gari pure leathet seats, five star hotels etc, yaani ana bonge la profile. Nimechat nae kanipa namba yake tumeongea fresh. Dah mara paap kanitumia ujumbe eti kama sitojal eti nimtumie elfu 5 aweke umeme wa buku eti luku imeisha. Yaani toka zali la mentali hadi kidemu cha mizinga dakika sifuri.
Kaniacha hoi simtumii.
Madem weng fb na insta wanatumia picha zisizo zao ili kubamiza vichwa panz kama nyie.
Walishawahi kukuingiza mkenge nini? Ebu tupe japo kiufupi tu ulivyojua kuwa ni vidumeNa wengi wala sio wanawake..ni vidume tu matapeli vinaingiza kenge washamba
Walishawahi kukuingiza mkenge nini? Ebu tupe japo kiufupi tu ulivyojua kuwa ni vidume